Usaidizi:Jinsi ya kusanikisha fonti
Outdated translations are marked like this.
Kumbuka: ukifanya mabadiliko kwenye ukurasa huu, umekubali kutoa mchango wako chini ya kifungu CC0. Tazama Kurasa za Msaada wa Kikoa cha Umma kwa habari zaidi. |
Ukurasa huu unasaidia kusanikisha fonti iliyopakuliwa katika kompyuta yako mwenyewe.Ikilinagan na mfumo uendeshaji wako na toleo lake, fuata maagizo yaliyotolewa hapa chini.
Windows
Windows XP
- Funga programu tumizi zote.
- Nakili fonti ulizopakua kwa C:\Windows\Fonts folder
Windows Vista and Windows 7
- Funga programu tumizi zote.
- Bofya-kulia faili za fonti zitakazosanikishwa
- Menyu dukizo itatokeza, chagua>Install.
Linux
GNOME
- Fungua fonti ukitumia programu ya kutazama fonti
- Bofya kitufe cha sanikisha cha programu ya kutazama fonti
KDE
- Fungua fonti ukitumia programu ya kutazama fonti
- Bofya kitufe cha sanikisha cha programu ya kutazama fonti
Sanikisha kwa watumiaji wote
- hifadhi fonti kwenye folda tofauti. Kwa mfano: "Downloads/fonti".
- Fungua terminal na uendeshe amri hiyo
sudo cp -R ~/Downloads/fonts /usr/share/fonts
Mac OS X
- kokota na dondosha faili zilzochaguliwa katika maktaba ya folda ya fonti
Mac OS 10.3 ama toleo za baadaye
- Bofya mara mbili faili ya fonti ili kufungua ukitumia FontBook.
- Kusanikisha kwa ajili yako pekee yake: Bofya>Kitufe cha snaikisha
- Ili kusnaikisha kwa ajili ya watumiaji wote:cahagua>mapendeleo na mabadiliko>Chaguo msingi la kusanikisha kutoka "mtumiaji" hadi "Kompyuta". Alafu bonyeza>Kitufe cha sanikisha fonti.